Install Free Gold Price Widget!

Install Free Gold Price Widget!

Install Free Gold Price Widget!








  • Pre GE2025 - CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025 . . . - JamiiForums
    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeweka ajenda ya Katiba katika ilayani yake ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030, kikisema kuwa kinaamini kuwa misingi imara ya utawala bora, demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria ni muhimu katika kuhakikisha Taifa linaendelea kuwa na amani na utulivu kama msingi mama wa shughuli za maendeleo
  • Pre GE2025 - CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye . . . - JamiiForums
    Lakini vilevile tulipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 kwa kipindi cha miaka minne- mpaka mwaka jana uliofanywa na serikali zetu mbili, tulifanya marekebisho madogo ya katiba ya CCM ya mwaka 1977 na likawa toleo la 2025 na kumchagua Makamu Mwenyekiti wa CCM bara
  • Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM . . .
    Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini Kwa nguvu na uwingi wa wanaounga mkono hoja ya no reforms no election, ni kiashiria cha kweli kabisa, ccm huiba kura Watanzania tuamke, Tanzania inaamriwa na Watanzania na siyo CCM
  • Pre GE2025 - DSM - Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM . . . - JamiiForums
    Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025 Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1 2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri
  • Pre GE2025 - Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa . . . - JamiiForums
    Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Makao hayo makuu mapya, ambayo
  • Pre GE2025 - Prof. Kitila: Ilani ya CCM ya 2025 30 ni . . . - JamiiForums
    Aidha, CCM inakubaliana na maudhui ya msingi ya Rasimu ya Dira 2050 Hivyo basi, Ilani hii ni nyenzo ya CCM ya kuanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Ndugu Mwenyekiti: Nieleze kidogo kuhusu mchakato wa kuandaa Ilani hii Sehemu kubwa ya maudhui ya Ilani hii yametokana na maoni ya wanachama wa CCM, wananchi na wadau mbalimbali
  • CCM Yawazuia Wanachama Wake Kuvaa Sare za Chama Katika Mkutano wa . . .
    Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa
  • Kuna uwezekano mkubwa wa CCM kuja kukubaliana na CHADEMA . . . - JamiiForums
    Sii kweli CCM haiko tayari kwenda kwenye uchaguzi, CCM ilishamaliza kazi kitambo toka ile November 2024 na niliwaeleza humu Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!


















Gold Price,Buy Gold,Sell Gold ©2005-2009
|Forex Price |Forex Quote |Currency Exchange Rate |disclaimer